Ukiangalia video hii yenye vituko na maneno yanayochekesha sana
ikiwashirikisha Robyn, Diddy na Paul Rudd, unaweza kukumbuka ilikuwa
vipi kuwa kindergaten, tena kama haujakuwa distructed na kucheka sana
kwa ukatuni uliyomo kwenye video hiyo.
ningeweza kujaribu kukuambia nini kimetokea pale Robyn alipowashawishi
Diddy na Paul Rudd kwenda kindergarten, lakini sidhani kam nita-make
sense, au kwanini kuna mwanamke anajifungua kwenye dance floor, kwanini
Diddy anakula takataka, nitakuchanganya sana,
hahahaaaaa angalia mwenyewe upate majibu ya maswali hayo
No comments:
Post a Comment