CHRISTIAN BELLA WA AKUDO ATOKA NA VIDEO MPYA "USILIE
Mmoja wa member wa band iliyowahi kutamba sana miaka ya nyuma na nyimbo
zao kama "yako wapi mapenzi, mama vanessa na zinginezo, ameachia video
ya wimbo mpya unaoitwa "usilie". video hiyo imefanyika nchini sweden
ambapo yupo huko kwa hivi sasa.
No comments:
Post a Comment