Tuesday, 21 May 2013

TANGANYIKA RECORDS KUZINDULIWA JUNI MOSI MWAKA HUU


Uongozi wa Studio za Tanganyika Records ikiwa ni chini ya Master of Punguti,Nsajigwa Mwakugaja,,,pamaoja na ma prodyuza wake,,,,,Felix Maganga,Chui Tiger, hivi karibuni intarajia kuzindua rasmi studio hio,,,,,,,,,,,ukumbi utakua pale Say pub ilyopo sinza pastina

Studio hii inawasanii wengi wakiwemo,,,,,,Suzane Kabera,,,,,,Twaha,,,,,,,,nakadhalika.
Album ya Miss Tanganyika itazinduliwa siku hio napia wasanii tofauti chipukizi kama the runners,,,fomanako,,,,,,,watakuwepo kutoa burudani.


Tanganyika records itafanya kazi mtaani kutafuta wasanii wenye kipaji cha kufanya muziki na kuwasaidia !!!!!!!!!!

Sio yakukosa!!!!!!!!!!!!Enjo!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment