"aaa ukweli ni kwamba sijui anachokitengeneza yeye, mimi ndio nimefunga
show mbagala, hakuna kitu kama hicho kilichotokea,unajua mi nilikua
nimerusha flana niliyokuwa nimevaa, watu walikuwa hataki niimbe nikiwa
na flana, so baada ya kuirusha ile flana ndio watu wakaanza kusukumana
huku na kule, umati ulikuwa mkubwa, aah ikabidi wakadondokea ile mashine
ambayo ilikua inapiga mziki pale, nafkiri show ndio ikaishia...Read More
No comments:
Post a Comment