Rapper LudaCris amedondosha moxtape yake mpya leo kupitia Datpiff.com
ikiwa ni siku moja na release ya movie aliyoshiriki 'fast and furious
6', mixtape hiyo ina nyimbo10 na tayari ishadondoka leo hii, pichani ni
cover yenye track list ya nyimbo hizo.
No comments:
Post a Comment