Thursday, 16 May 2013

IZZO BUSSINESS AKIRI KUMTAMANI WEMA SEPETU

 Msanii wa hip pop nchini Izzo Bussiness juzi alikiri kumtamani  Mwanadada Wema Sepetu kimapenzi ,




"Japo sijawai mtamkia mwanadada huyu kuwa nampenda ila kwa mwanaume kama mimi na stahili kabisa kupenda mrembo kama huyu"alisema.

No comments:

Post a Comment