
Kilimanjaro Tanzania Music Awards, kwa ushirikiano wa wadau wa music
wameshafanya kazo yao ya kuhakikisha kila msanii anaestahili kuwepo
kwenye tuzo hizo kwa mwaka 2011- 2012 ametokea katika kategori stahili,
sasa kazi imebaki kwako kumpigia kura yule anayestahili kuchukua tuzo
hizo ikifika siku ya kutolewa tuzo ambapo itakuwa ni tarehe 8 mwezi june
2012ndani ya Mlimani City
ukiwa kama shabiki na...
Read More
No comments:
Post a Comment