Sunday, 21 April 2013

watanzania tujifunze kuwaenzi wasanii wetu

 katika Mkoa mtwara  wafaya biashara mbalimbali wameamua  kuendelea kuwakumbuka wasanii walio tuacha


wameamua kubandika picha za Sharo milionea pamaja nakanumba kila mahali kama kwenye magari,maduka napia wengine kutembea na picha ndogo kwenye pochi zao kwakua wanatambua umuhimu wao,,,,,,,,,katika nchi ya TANZANIA,,,,,,,,,,,,,,,

TUJIFUNZE WOOOOOOOOOOOOOOTE!!!!!!!!!!!!!!!!!!

1 comment:

  1. jamanii sanaa nikazi kama kazi nyingine zilizo halali serekalini ,,,,,,,,,,,,,tueshimu basi kazi za wasanii kwa faida zetu wote,,,,,,,,,,,,waharamia vipiiilove and power kabla ya kutoka m,,,,fake tayali zipo sokoni watch out!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete