Thursday, 6 March 2014
NAPENDA KUMPONGEZA SANA DADA SALMA JABU MAARUFU NISHA KWA KAZI NZURI AMBAYO HUWA ANAFANYA KATIKA UIGIZAJI WA FILAMU,NAPENDA KUWA MUIGIZAJI BORA WA KIKE AMBAYE NITAWEZA KUITAMBULISHA NCHI YANGU VYEMA NDANI NA NJE,HAYA YOTE YATAKAMILIKA KWA USHIRIKIANO WENU,BABA,MAMA,KAKA, NA DADA ZANGU MLIONITANGULIA! GIVE ME A HAND ILI TUWEZE KUSONGA MBELE! TOGETHER WE CAN STAND!
Wednesday, 5 March 2014
Sunday, 2 March 2014
Friday, 28 February 2014
NYOTA WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AFRICA MASHARIKI,NASEEB ABDUL MAARUFU DIAMOND PLUTNUM AMEWEKA WAZI KUWA ANAKERWA NA TABIA ZA WASANII WANAOPENDA KUMCHAFULIA JINA WAKATI KILA MTU ANAHANGAIKIA MAISHA YAKE
"Kila mtu anahangaikia maisha yake binafsi,tusiiingiliane maisha,mi na hustle kwa staili yangu na kamwe maneno yao hayawezi kunirudisha nyuma",alisema
DOGO ASLAY AELEZA SABABU ZILIPELEKEA YEYE KUNUNUA GITAA NA KINANDA
Dogo Aslay alilieleza papaso la burudani kuwa Vifaa hivyo vitaweza kumsogeza na kuhakikisha kazi zake zinafanyika kiundani zaidi kutokana na nia yake yakuwa msanii bora nasio bora msanii!
Subscribe to:
Posts (Atom)