Siku ya tarehe 31 ndani ya Mbeya City alikotoka Rapper Izzo b patawaka
moto, moto utawaka ndani ya Club Vibe, ikiwa ni mara yake ya kwanza
kufanya show yake yeye kama yeye, kwa kiingilio cha buku 7 tu huku
akisindikizwa na wasanii wa pale pale Mbeya na Rapper kutoka Morogoro
Stamina.watu wa Mbeya hii ni time yenu kumpa sapoti mtu wenu
anaeikubaili Mbeya

No comments:
Post a Comment